Invitation to Join Form Five 2026/2027 Shule ya sekondari Arise inawakaribisha wazazi kuwaleta wanafunzi waliohitimu kidato cha nne kujiunga na masomo ya kidato cha tano mwaka wa masomo 2026/2027 katika mchepuo wa HKL, HGL, HGK, HGE, EGM, CBC, PCB, na PCM
Shule ina walimu wazuri na wakutosha kimwezesha mwanafunzi kufanya vizuri mitihani ya ndani na kitaifa.
Shule ipo katika mazingira mazuri na ina vifaa vya kutosha kujifunzia.
Masomo ya kidato cha tano 2026/2027 yataanza Mwezi Julai 2026